Makapuku Forum

Leo Katika Historia:

1937 - Kampuni ya magari ya Volkswagen ( VW )yaanzishwa.

Volkswagen ina maana ya Peoples' car ilianzishwa kwa msukumo kwa Kiongozi wa wakati huo wa Ujerumani, Adolf Hitler aliyeshinikiza yatengenezwe magari ya bei rahisi ili wananchi wake waweze kumiliki usafiri kila mmoja.
 
Hitler japokuwa ni Mauaji lakini kashiriki kuijenga Ujerumani kuna mambo hadi leo wanafaidi matunda yake
.
.
Huku bongo tulikuwa tunayaita Mgongo wa Chura na kueadhihaki wamiliki wake hata kama hatukuwa na kauwezp hata kununua baiskeli
Wabongo kwa dharau
.....
 
1948 - Daniel Francois Malan anachaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa Afrika Kusini.

Baadae anaanzisha sera ya Ubaguzi wa rangi.
Lakini mwisho wa siku weusi wakachoka manyanyaso ya Makaburu na kuanzisha vuguvugu la mapambano chini ya akina Nelson Mandela,Desmond Tutu,Oliver Tembo n.k na kuambulia kutwa korokoroni ilawosho wa siku makaburu wakasalimu amri
Ila ibaguzi wa rangi hadi leo bado upo na utadumu milele labda rangi moja ipotee kabisa hapa duniani
.....
 
1964 - Chama cha Palestina Liberation Organization ( PLO ) chaanzishwa.
Mwanzoni Umoja wa Mataifa na Israel walianzisha propaganda na kukichafua hicho chama kwa kukitangaza kwamba ni Kundi la kigaidi baada ya kuonekana linapigania maslahi ya Wapalestina kwa sera yao ya Utaifa kitu ambacho hakikuwapendeza Wayahudi hadi ilipofika miaka ya mwanzoni mwa 1970
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…