Makapuku Forum

Sa sijui leo niwe upande gani kati yao[emoji35] [emoji35]
 
Ubingwa ukipatikana kwa mbelekp km ya Thimbwa wala haunogi
Waamuzi ndo chanzo cha vurugu uwanjani
Ila Wasukuma wamekomaa sana halafu dk ya Mwisho mtu anapewa penati ya DEZO
UPUMBAVU MTUPU
.
Hongereni mashabiki wa Simba
Ole wenu msimu ujao tiwasikie "Yanga anabebwa"
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…