Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
kwani me nimekukomesha jamani
avatar hzo zinanichanganya
SawaWafate pm mkuu
Mbona sijatokaa nae ,,
Ata kutembea nae hakunaa ...nimemuachaa wapii
hujaachika... Lee anataka kubembelezwa tu... Si Unajua nyota yake inawaka sasa hivi.
We muongo baada ya kuskia etyhapana
namwita shem wangu akuje tu mara moja
UmefurahiiiiWashaachana haoo
hapana bana umeninukuu vibaya we ni mchocheziWe muongo baada ya kuskia ety
Tumosa anataka ku-hug mashine
Ukaamua umwite mwenye nayeaisee
Bby nichumuAsee awe Wa dar au Wa koromije mi ndio nishapenda hivyoo
Kwaiyo dr.lee anawake wangapindio ujue sasa kuwa ni mke mwenzangu
Aliyemtongoza mwenzake ni mukongo kila siku anajifunza neno humu akija mistari ya dini basi siku ya siku mama mchuchu akamquote mukongo kumwita baba mchuchu
ukumbuke kabla hajakubaliwa yeye na binamu ndio walikua wanamgombania wote
Aaa wapi! Mbwembwe tu. Uilete kwanza nii-edit usije ukaishia kutuandikia Kihaya hapa halafu ukirekebishwa unakuwa mbogo♂️♂️♂️
Story zipo aisee ngoja niziongezee ujuzi tuMh unataka kutukamata wapenda story mke mwee unamuona huyu
Ana mke mmoja tu ambaye ni shunieKwaiyo dr.lee anawake wangapi
Alafu wewe najua unataka niseme simpendii ili umtongozeee
Sasa subiri mpaka jesus arud
kazi ipo kuchumu mpaka umuombeBby nichumu
Nakupendea hapo tu hutikisiki
kwani sisi tumebisha jaman pendaneni tu hakuna namna ingine
pale kati viiiip
Ni poaNiaje humu