BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Amen asante[emoji120]Asubuhi njema makapuku wenzangu, Wagonjwa muendelee kupata nafuu hatimae mpone, wasio na pesa mola ashushe riziki asubuhi hii, mloachwa maumivu yaishe na hatimaye mpate mwenza sahihi asubuhi hii, wenye madili yenu yatiki asubuhi hii na mnaohisi mmemkosea mola mkatubu asubuhi hii, Amiin!
Aiseee....pataamu
Kwanii wewe ndo ulitoa ya moyoni kwa mama mchuchu au ni ka msaada na wewe ukatelezaa??Uachage urongo!!!
Boraaasijakuelewa hata
NishajibuUtanitag chief
we ulimlipa nini???MPE nusu ya malipo yake aingie kazini
Ndo umejuaAisee, sikuwa najua hili, asante.
Kwanii uongooo??unataka kuanza kuwakorofisha
Asante sana kwa magazeti mkuu Shululu ubarikiweView attachment 513564Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini
Kwa udhamini mnono wa Ankali JJ jumatano njema
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Haya pande hilo..... Kama kawaida yako Shunie
hata nyagei??Sitakiiiii
Sahauu kwa shedede utakula chips urudii kwenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] na akafungue shampeni
Unaanzamama mchuchu binamu obe ujue hana maneno ya duniani [emoji2] [emoji2] huyo mukongo tunaona kabisa anatuharibia mama yetu
Kweli kabisa
Tujifunze kuzikabili changamoto za kimaisha bila kukurupuka
.......
[emoji3] [emoji3] [emoji3]....pataamu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Niajeee shemela king'ang'aniziii
Aisee
Wale mlio kwenye ndoa
Kazi kwenu
......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we kiboko[emoji2] [emoji2] [emoji2] mndokee tu cuzoo asije akakufwa tu shemeji yangu tukamzika huku tunampenda
[emoji85] [emoji85] nafanyaje sasaAhahaahahahaaaa
Nipo tuu
ngoja akili ikitulia nitaunganisha matukioBoraaa