Atapigwa mikwala tujumapili mapema kwa Mzee wa kuliamsha dude
So happy to hear that Be Blessed. In the name of the most high,have a wonderful day
happy birthday Eric1966-- Eric Cantina anazaliwa
Ni nahodha Wa zamani wa Man Utd pia aliichezea timu ya Taifa ya Ufaransa
Ni mwanasoka aliyekuwa na kipaji kikubwa lakini mbabe na mkorofi kama Roy Keane
Anakumbukwa kwa tukio lake la kumrukia shabiki wa timu ponzani teke la kung fu kutokana na kukerwa namna alivyokuwa akimzomea
Akiamua kuachana na soka mapema na kujikuta kwenye soka la ufukweni na uchezaji filamu
.
.
.
Ahsanteni kufuatilia mada
Mwisho
.............
CuzooShwariii
morning mrs Nyagei
Sijamuelewa huyooonimekuwa lini Mrs Nyagei
Jana Nyagei alikuwa kwenye taratibu za utambulisho, ila ndio michakato anaendelea nayo
na mm pia nimepitwa kwa hiliUlipitwa, anasubiriwa mama mchungaji tu kubariki ombi la Nyagei
nimepitwaeee
sidhaniAtapigwa mikwala tu
Baba mchuchu
Mhhhhhhmhhhhh shemelana mm pia nimepitwa kwa hili
Subiri tu shemelasidhani
Af wewe!!!.....Baba mchuchu
Rais xuma katushauri East Africa tutafute jina lingine la kiafrica.1819--Malkia Victoria anazaliwa
Aliongoza Uingereza kuanzia mwaka 1836 hadi alipofariki mwaka 1901
Ziwa Victoria huku Bongo lilipewa jina lake na wakoloni wa Kiingereza kama heshima kwake
.........
Lilikuwa linaitwa ziwa NYANZARais xuma katushauri East Africa tutafute jina lingine la kiafrica.
Ushauri kautoa akiwa Uganda ziarani.
mbona unashangaa sana???Mrs??
Nilipenda uvaaji wake wa jezi. Akisimamisha kola juu. Japo mie mshabiki wa Liverpool (John Barnes).1966-- Eric Cantina anazaliwa