Makapuku Forum

6/Derek 'Bertie' Smalls
Huyu alikuwa ni mwizi aliyebobea huko Uingereza katika miaka ya 1960
Kabla ya miaka ya 1970 alikuwa ni mwizi mwenye jina kubwa kwenye mitaa ya jiji la London
Mwezi Februari 1970 aliongoza genge liitwalo Wembley Mob kuvamia na kuiba pesa kiasi cha Pauni 240,000 katika benki ya Barclays kiasi ambacho ni rekodi kwa kipindi hicho
Kisha akapanda treni na kutimkia jijini Paris kusikilizia upepo
Baada ya juahidiwa kupewa kings na mwendesha mashtaka iwapo atakubali kuelezea wizi ulivyofanyika kwaajili ya faida ya Polisi siku zijazo alikubali kurudi na kutoboa siri ambapo genge zims lolipigwa mvua ya miaka 100 jela ila yeue akasamehewa
.......
 
Aiseee
 
5/Isabella Stewart Gardner Museum Robbers
Mwezi March 1990 wezi wawili walijifanya ni maofisa Polisi wa Boston na hivyo kuingia kiulaini katika makumbusho ya Isabella Stewart Gardner na kukomba vitu vya sanaa vyenye thamani ya USD Milioni 500 wakatoka nje na kutokomea kusikojulikana
Baadaye ikatangazwa bingo ya USD 5 Milioni kwa atakayefanikishwa kukamatwa kwao lakini hadi leo kimyaaaa
.......
 
4/The School Of Turin
Mwezi Februari huko School of Turin Leonardo Nortobatolo aliongoza genge lake la kihalifu kufanya tukio la kihistoria
Walifanikiwa kuingia kupitia dirishsni kisha kuwafubgulia na wenzske watatu na kuingia kwenye sehemu ya kutunzia vito na fedha Vault baada ya kufanikiwa kuvuka viunzi kibao na hivyo kufungu vibox 123 kati ya 150 na kutokomeazao
........
 
3/Baker Street Burglary
Hii ilitokea huko London 1971 ambapo genge la wahalifu lenye vifaa vya kisasa lilifanikiwa kitobo tundu(handaki) katika sehemu ya kutunzia Vito/fedha katika Lloyds Baker Street Bank Vault na kukwapua fedha/vito vyenye thamani ya Pauni 3 Milioni (kipindi hicho ni pesa nene) na Polisi hawakufanikiwa kuwakamata
Miaka miwili baadaye wakakamatwa watu na kuunganishwa kwenye kesi bila ushahidi wa kutosha Hii ni muvi inayozungumzia tukio hilo
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…