JE WAJUA?
Raisi Lyndon B Johnson alimiliki gari lenye uwezo wa kutembea nchi kavu na majini, alipenda kuwatisha wageni wake kwa kuwapandisha kwenye gari lake harafu analitumbukiza kwenye maji akisema breki hazifanyi kazi halafu anaanza kuliendesha ndani ya maji.