Kuwahi mu-cume pia inaweza kusababishwa na ishu za kisaikolojia..
Mfano kama unampenda mtu sana..ukawa na hisia kali juu yake wengi wanashindwa kuzicontrol na mwishowe wanapata kitu inaitwa pre-mature ejaculation
Ni sawa na mdada anafeel mwanaume sana...akishikwa tuu downtown kule ....everything goes wet..
Its something with pyschologicall control.