Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Mimi sielewi binamu hiyo segment yake inahusu niniAsante mjomba, basi mimi nikajua ni ishu siriazi kumbe ndo segment yako mpya😀, yaani nilidhani unataka kumliza anti yangu
siku nyingine uwe unaniambia mapema, haipendezi nakuwa wa mwisho kujua