miss u moree my love mpaka nakufwaa
NakupendaSema lolote LA moyon
nipo huko ndo maana naingia humu kwa kujiiba,now niko prepo¥¥Skul vipi?
hivi si umeelewa lakininitanya-nitafanya
fursa fursa wa mondray huyomambo mchuchu, karibu ukapukuni...
upo humu kwa mkopo au umepata usajili wa muda??
Mtajie usiogopeNivungie kwanza mkuu!
Kazana Shunie... Bembeleza penzi... Mwenzio nyota inawaka sasa hivi.hapana najitahidi sana kutokuvuruga
Never! and Ever..!hahahaha unaruka ruka tu
nitakupata tu siku moja
[emoji2] [emoji2]Nipo kwa mkopo
Ngoja nita-pm akuambie mwenyewe..sijui mimi muulize tu mwenyewe
Wekeni picha zenu tufahamiane
[emoji4] [emoji4][emoji2] [emoji2]
Na umishaelewa humu huwezi kutoka tena..Naanza kuelewa
sega dance ndio nini tenaHa ha ha ha ha ha.... Mlikuwa mnatuchezea sega dance eeh? Hongereni
Binamu umeongea maneno mazito sana [emoji134] [emoji134]Una mapenzi ya kweli kwa mjomba angu lee empire ila mjomba angu hana dhamana, kama mmasai tu. akisikia mvua zinanyesha porini anampeleka kirungu mpweke huko porini, zikinyesha mjini anarudi
Acha iwake tu kama riziki yako ni yako tuKazana Shunie... Bembeleza penzi... Mwenzio nyota inawaka sasa hivi.
tunasubili kwa hamu katibu wa weka pichaKuanzia kesho ntakuja na segment mpya kabisa.... Hivyo mkae tayari
na akileft anarudishwaNa umishaelewa humu huwezi kutoka tena..
I thought you cld be talking over my previous posts...bad enough you have forgotten even a single post..kwa sasa sina, post zako, nyingi zipo nyuma nyuma huko