Ndio maana mke wa JFK akaona kuliko kwenda kuadhirika na kuumia moyo akawachukua watoto na kwenda kuangalia mbio za farasi.
Jambo pekee la kumtenganisha JFK na Ms Monroe ilikuwa ni kifo tu.
Na hapo ndipo dikteta John Edgar Hoover alipotekeleza majukumu yake.