Nilimkimbia lini mimi naona natafutiwa sababu najuta kulog in kuja kuwasalimiaHahaha nayeye ana moyo
Let me wait
Time will tell
Umemuona shunie?uko poa lakini mrembo ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] au blacklist kabisaHebu subiri. Nakuweka kwenye waiting list.
mimi niko poa kabisa shaka ondoaHofu kwako
Asante mondray nahisi kuzidiwa tena na niliyoyakuta humuHodiiii jamani shunie pole mdogo wangu kwa ugonjwa..
Makapuku'zUpo na nani shedede?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseee hii mpya nahisi kufa
Naumwa nifanye nini mimi namwachia Mungu tu ndio atakaenilipiaUgua pole ila Lee wako anaibiwa huku
[emoji4] [emoji4] [emoji5] nichumuBaby mm nakupenda wewe tu hakuna mwengine
Nipo mie mr. mzuri nisie na papara kabisa.Am looking for my Mr.right.
Pole mwayanahivi ninavyoumwa naweza kufa
Mwache baby apumzikeNa baby wake
mbona unashukuru ? mimi nina mke sio mchumbaAsante baba
[emoji106]Sawa umeshinda
Yaan mkiskia nimezidiwa msishangae aiseee haya mapya kwangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona amelala mapema sana leo.Kwann mkuu??
.O.k.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Worry out Mkuu.
Asante Mkuu.karibu tulisongesheee dudeee kapukuniii