Nawe pia usiku mwema mama mchungaji[emoji524] ZABURI 46
1.Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu,msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso
2.Kwahiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi,Ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari.
3.Maji yake yajapovuma na kuumuka,ijapopepesuka milima kwa kiburi chake
TUOMBE
Tunakushukuru Baba kwa ulinzi wako mchana kutwa Wewe ndiye kimbilio na nguvu yetu,msaada wa kila jambo tunajikabidhi mikononi mwako usiku wa leo utukinge na hatari mbalimbali na ajali mbalimbali,mkono wako ukatukumbatie kama kuku anavyokumbatia vifaranga,tunakwenda kinyume na nguvu zotevza giza ,tunaomba malaika walinzi wakawe nasi usiku kucha.
tuliza wafiwa,yatima wagonjwa,bariki kila mipango tunayopanga tusipungukiwe.
Mapenzi yako yatimie.
Tunaomba na kushukuru katika jina la Yesu amen
USIKU MWEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
Na mbeleko ndani, nawe pia ObeUsiku mwema Makapuku, game imeisha na kama kawaida Machampion Chelsea tumeshinda 4 kwa taabu sana.
Love
Haaaaahaaaa aisee Obe umetishaSijiu niandike nini ili nisionekane nina wivu, enewi, yote maisha, wakati unalilia kupendwa, mwingine anapendwa kifurukutwa yaani hadi maua, flowers.
Asante kwa maombi, ubarikiwe sana.[emoji524] ZABURI 46