usimfate huyo unajua nini bby nilikuwaga mlinzi wake so anafanya fitina ili niendelee kuwa mtumwa na mimi sitaki nakupenda wewe tu ....
no...no....no... naomba umpe ushaidi kuwa mimi ni mchepuko
Sema kweli baby?![emoji4]usimfate huyo unajua nini bby nilikuwaga mlinzi wake so anafanya fitina ili niendelee kuwa mtumwa na mimi sitaki nakupenda wewe tu ....
[emoji15]si umwambie ukwelii kuwa yeye ni spea taili
OK mi nasubiri huyo malkia aje ndio ntajua cha kufanyajamani inspector umesahau kweliii ? kweli wewe kichwa kama cha kuku unasahau mapema ngoja malkia ajee utamweleezaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa story tu.....kula juu yako[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
YEAH....!TOUCHING!NO NEED TO BE A MILIONAIRE IN A GROUP OF POOR PEOPLE ..NO NEED .....UKWELI ALIMAANISHAA...R.I.P TUPAC SHAKUR[emoji120]Kuna watu ambao huchukuliwa kama wahuni, wakorofi, wavuta bange, wezi na mambo mengine mabaya mabaya.
Wengine huwa wako hivyo lakini wengine ni tofauti, ukikaa nao na kuwasikiliza ni watu wazuri na wenye huruma mioyoni mwao.
Msikilize 2Pac katika hii interview aliyofanyiwa na MTV mwaka 1992.
walahi huyo mwongo ngoja shunie ajehSema kweli baby?![emoji4]
dah ebwana fresh, habari za maishaniaje baba la baba
Shukrani mkuu.Wakuu tukutane usiku kwenye 10 kubwa ambayo itachelewa kuwajia kutokana na uwepo wa mechi ya AFCON U--17 kati ya Mali v Tanzania itakayoaanza saa 17:30 na kuoneshwa LIVE kupitia ZBC2
Niwatakie siku njema
..........
Hahaha, nimekugusa hapoNi sakayo...sio zakayo..
kwemaadah ebwana fresh, habari za maisha
Yes Papaamkuuu
Apia!!!Naona umerithi
[emoji109] [emoji12]safi sana papaa......zipo hapo kwa udhamini mnono wa shunii 😉
uko byeeheeYes Papaa
Niko bien.....ndio umerudi au?uko byeehee