That's my man...Moyo wangu nimempaga sakayo toka siku mingi...
Wacha umsukume sakayo tuu!
Nampenda kupita maelezo...
I love you my omotola...Daaaah
Mie nikiona mwandiko wako tuu mapigo ya moyo yanabadilika mpenzi....
Nimekumiss mnoo, ila naamini Mungu atakutunza urudi salama...
Can't wait to see you again my love..... Love you mnooo hubby
I will never leave your my love..That's my man...
T mume wangu, moyo wako ninao... Angalia tu moyo wangu usijeuacha huko maporini uliko....
Always love you..... Transcend wa Sakayo!!!!!!
ooh ule kumbe shemela unapitaga pitaga kule ila yule anaonyesha kashaingia mazima kwa jamaa aibu yake akiliwaUshauri mzuri, yule Dada anayetaka kudate na mfanyakazi mwenzie
Sanaaaa shemela usukume tu sakayo wala usiacheMoyo wangu nimempaga sakayo toka siku mingi...
Wacha umsukume sakayo tuu!
Nampenda kupita maelezo...
Asante msukuma nikiingia humu kidogo nafarijika Mungu azidi kuwawekaNaendelea vyema. Thanks for asking. Wewe unaendeleaje? Lee is back angalau akupe company kidogo. Happy Mother's Day!
Lovie,,,, am speechless!!!!I love you my omotola...
Nimekukumbuka sana leo mama...weeekend ya kwanza kuwa mbali sana na wewe...
Najaribu kujizoesha ila its taking me to difficult situations..
Naamini haya majukumua yataisha and i will be back in town
I will be by your side in every second..
Nakupenda mno chotara wangu...
mbona chotaraI love you my omotola...
Nimekukumbuka sana leo mama...weeekend ya kwanza kuwa mbali sana na wewe...
Najaribu kujizoesha ila its taking me to difficult situations..
Naamini haya majukumua yataisha and i will be back in town
I will be by your side in every second..
Nakupenda mno chotara wangu...
Hii naelewa mimi na sakayo tuumbona chotara
Thanks hubieI will never leave your my love..
We were born twins and we will live forever as twins...
Hapa duniani na paradiso...
I am always your..!
Kwenye kitengo chakoSanaaaa shemela usukume tu sakayo wala usiache
Nitarudi mama!Lovie,,,, am speechless!!!!
Nimejikuta tuu natabasamu mume wangu kipenzi!!!!
Huyu Mungu akutunze tuu urudi salama....
Sio kwa kukumiss huku jamani... Hili baridi si la mchezo without you by my side honey!!!!!
Chotara mweusimbona chotara
Nampendaaaaaaa! I lover her so muchSanaaaa shemela usukume tu sakayo wala usiache
HeheheHii naelewa mimi na sakayo tuu
Drinkand keep yo mouth shut..
I feel your touch..Thanks hubie
You are the best man in the whole world.....
Can't wait to hug you tightly.....
na mimi naelewa piaHii naelewa mimi na sakayo tuu
Drinkand keep yo mouth shut..
I know hunie...Nitarudi mama!
I will be back soon..i see as its getting a century now..
Ila haina budi...we need cash to make life.
Get used to this..! Mimi wako wewe wangu..