Makapuku Forum

Mimi Kuanzia Kesho Nitaanza Kuwaletea vipengele viwili: Stupid Criminals na Leo Katika Katuni. Pendekezo zuri sana waungwana!
 
7/Vee S Beib
Huyu ni binti wa Kikenya ambaye jina lake halisi ni Vera Sidika
Ni mpendezeshaji wa video za wanamuziki mbalimbali(Video vixien)
Anaonekana zaidi kwenye video za kundi la hip hop huko Kenya liitwalo P-Unit
........
Misambwanda leoo. Nafwazzz. Thanks Madenge. Muumbaji Alicheza pele katika kumuumba mwanamke. Salute! Huyu Vera inasemekana ndiye video vixen tajiri kuliko wote na kinachomsaidia ni kuwa kasoma. Hata mwenzake yule wakili (Corazon Kwamboka) naye kampuni yake ya nguo inafanya vizuri sana. Vixen wetu hawa akina Masogange yaani wapo wapo tu. Wakenya, kama kawaida yao, wamechangamka karibu katika kila sekta kuliko sisi...
 
giggy kichaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…