Oooh afadhali umenpunguza pressure aisee,mie maji tu yannantoshaAnajenga nchi, atakuja usihofu.....nyagei mpe mgeni cappuccino
Woyoooooooo imepenyaaaS & T
Lkn sio sehemu hizo ulizotajaNa ni lee ndio alikuwa nyuma akikupa sapoti
uwiiiiiiinimecheka hadi machozi we Shunie wewe duuuh natamani nikuone khaaaa
Asante mkuu, umeitendea haki segment.Leo katika historia sina la ziada
Kwakweli ni muhimu Lee awe hapa angalau gavana yake nzima
Je wajua?
Kijana aliyeitwa Francesco Lentini alikua na miguu mitatu (legs) vikanyagio vinne (feet) vidole kumi na sita na alikua na vikojoleo viwili (penis) vinavyofanya kazi naliishi miaka 70 akiwa kama mwana sarakasi.
too much kilugha mama hapendi kaniambia salimianeni tu inatoshaYepi acjenkimbia jaman
Wamarekani hawakujua kama wamechonga kinyago ambacho kinaenda kuwatisha wao wenyewe.1924 J. Edgar Hoover anateuliwa kuwa mkuu wa FBI
Anajenga nchi, atakuja usihofu.....nyagei mpe mgeni cappuccino
Uzi mweusi unaashiria msiba( natania tu )Uzi mpya wa Ugenini wa Manchester United kwa msimu wa 2017/2018
Unauonaje ??? Mkali au ?
kwahiyo kunuka ndio afya hapana aisee kama kuoga kwa siku ni madhara acha tuzulike na hivi tunaoga mara mbili mpk 3Je wajua?
Binaadamu anatakiwa aoge mara mbili kwa siku tatu, kama unaoga kila siku unajiletea madhara na unaharibu maji. kwa mujibu wa wanasayansi.
Je wajua?
Binaadamu anatakiwa aoge mara mbili kwa siku tatu, kama unaoga kila siku unajiletea madhara na unaharibu maji. kwa mujibu wa wanasayansi.
Ahsante mkuu Mussolin5Asante mkuu, umeitendea haki segment.
HakikaWamarekani hawakujua kama wamechonga kinyago ambacho kinaenda kuwatisha wao wenyewe.
Hili jipya kwa kweliJe wajua?
Binaadamu anatakiwa aoge mara mbili kwa siku tatu, kama unaoga kila siku unajiletea madhara na unaharibu maji. kwa mujibu wa wanasayansi.
acha unuke kama wolperkwahiyo kunuka ndio afya hapana aisee kama kuoga kwa siku ni madhara acha tuzulike na hivi tunaoga mara mbili mpk 3