ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
Basi mkuu sirudii tena.Ohooo chakula cha baba makapuku, huo jambilo alilamba chin kufuatilia koote..nilichoka jimena aliposema mimi mamako yaani mama makapuku
Nafikiri weekend imeanza mapema.Hata mimi sielewi elewi kabisa leo
Ohooo kumbatia adabu yako ka sio kushika, unashindana na magu!Basi mkuu sirudii tena.
Ndiyo mana nilikuwa naona mkuu Bitoz ameanza bifu ndogondogo.
Inabidi nitoke nduki.Ohooo kumbatia adabu yako ka sio kushika, unashindana na magu!
Usijali yakiharibika ntakutonya usepe leo niko kimbea zaidiInabidi nitoke nduki.
Inawezekana pia brazaNafikiri weekend imeanza mapema.
Mimi pia naona mchungaji leo umekuja kivingine.Usijali yakiharibika ntakutonya usepe leo niko kimbea zaidi
Leo ladha tofauti, uchungaji nimemwachia gwajima.Mimi pia naona mchungaji leo umekuja kivingine.
Unajua niliomba nafasi ya msaidiz wa makapuku, mzee kanambia anatakiwa ke, nilipohoji zaidi wapambe wakanipa ubuyu kuwa hiyo ni nafasi ya mke wa mzeeMimi pia naona mchungaji leo umekuja kivingine.
Hhahaha.Leo ladha tofauti, uchungaji nimemwachia gwajima.
Mbona sasa kwenye ile list ya malovers sijawaona???Unajua niliomba nafasi ya msaidiz wa makapuku, mzee kanambia anatakiwa ke, nilipohoji zaidi wapambe wakanipa ubuyu kuwa hiyo ni nafasi ya mke wa mzee
Asante babe!Thanks my love. Mimi ni wako pekee yako
Leo huku kumepoa sana loveAsante babe!
Watu wapo mapumzikoni sweet!Leo huku kumepoa sana love
I wish na sisi tungeenda mapumziko ila kuwa fresh kwanza honeyWatu wapo mapumzikoni sweet!
Twende kesho babe!I wish na sisi tungeenda mapumziko ila kuwa fresh kwanza honey
Hiyo kesho utakuwa poa honey?Twende kesho babe!
Yeah natumaini hvyo.Hiyo kesho utakuwa poa honey?