Makapuku Forum

Pole kwa timu uipendayo kushuka daraja
Hao washazoea kushika na kurudi
Nafikiri uongozi ndo chanzo ...inawezekana wana uchumi mbaya
.
Nafurahi zaidi ukiona Newcastle chini ya Rafa Benitez imerudi
Hii ni timu kongwe na inashabikiwa hadi na Malkia(km sijakosea)
.
Pia Brighton mayo italeta changamoto....kawaida kila msimu timu 1 au 2 zilizopanda daraja hushuka zikikaza basi musimu miwili 2
Achana na akina Leicester,West Ham n.k Hawa ni eazoefu wa ligi kuu
..............
 
Kweli mkuu ila hapo kwenye Newcastle nawapenda wanacheza vizur sana na wengine walio baki chini kana QPR, WIGAN hizi timu zingepata mwekezaji makini ziko vizur sana
 
1955 - Vuguvugu la Vita Baridi : Ujerumani Magharibi yajiunga na Umoja wa Kujihami wa Nchi za Magharibi ( NATO )

Ni vita baina ya Urusi na nchi za Magharibi
Ilitokana na madhara ya Vita Kuu ya Pili ya dumia ambapo pia Umoja wa Nchi za Kisoviet(USSR) ulikuwa unamiliki silaha za kinyuklia hivyo kuwa tishio kwa nchi za Magharibi hivyo kuwa matumbo joto na kuamua kuanzisha NATO ukiwa kama njia yao ya kujihami
.........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…