Ni vizuri ufanye utafiti wa kibantu ili upate maana yake na kwa lugha nyingine.Usiogope mwifwa we fuatilia kwa kasi yako ya kawaida huku mwendo wa kukimbia tu
Samahani mkuu mwifwa jila lako linanipa utata kidogo nikirudi kwenye lugha ya huku kwetu ( mwiba)
Leo weekend mkuuzko poa xn asee vip majukum
Pole sanaShem tumepigwa huko...
Leo nalala bar.. bahati yangu kesho siingii kazini
Welbeck anakusalimia shemelamm sijui uzee shedede yaan x badala ya s hata kusoma naona uvivu
Shulilu-Shululuoook kaziii nzuriii
shulilu unamuaminii ?
Xhaka kapiga mpira wa hatari, herere yule leo analala na viatuMpira umemalizika
poleni mashabiki wa man u
Xhakaaaaaaaa aaaaa
Ndiyo wewe huyoyalaaa
Wewe thimba tusawa man u wanalewa tu huko wakina transcend
Uko sahihi kabisa, maadili muhimumm bana x badala ya s nakua mvivu kusoma kuna mtto angu mmoja akinitext wasap anaandika xhikamoo aunty aisee huwa namwambia rudia tena mambo hayo ukichat na sharobaro wenzie au madem zako
Aisee duhlini aliniita baby
Kesho mtu anaondoka na mtuwangelimfunga spurs ningeliwasapotii na kuwapa ongeraa
Anawaya waya tu
Lazima akae kwenye mstariShedede ni hapaaaa hiyo xn badala ya sana
Mhhhhhhmhhhhhutakumbukajee wakati mambo mengi kama unga wa ngano
Mashabiki wa Man Utd Msijisahaulishe na Huu Msiba wa Wanafunzi tunajua fika mmefungwa na Arsenal 2 - 0
Xhaka & Dany Welbeck
Maumivu mnayopata kw kufunga Welbeck ndio tuliokua tunayapata kwa RVP malipo hapa hapa duniani walisema