8/
Daisy & Violet Hilton
Hawa walizaliwa 1908 mama yao akiwa binti wa miaka 19
Mama yao alikuwa ni baamedi na sistaduu Hivyo kuamua kuwauza kwa bosi wake( namaainisha kuwauza km unavyouza vitu dukani)
Huyo jamaa akawaweka showroom na kuingiza pesa kutokana na burudani yao iliyotukuka
Wakatekwa na wafanyabiashara wengine na kuanza kuwatembeza sehemu mbalimbali duniani
.......