Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Asante kamanda karibu tupo habari ya ujenzi wa taifawakuu salaam
ni matumaini mu wazima kabisa ...kiukweli naimis sana familiaa hii ila sitasita kuja kusalimia pidi nipatapo ka time kama leo ..
heshima kwa kapuku wote nikitaja wengine ntawasahau ila nyote wageni na wenyeji love ya kutosha
shunie mama kipenzi nakumis sana na unajua vile namis ukivuruge wako ila sala zakp zinafika haswa
bhinamu obe simu ya tachi nimeikumbuka na ile uliyoniagiza nimeileta
mkuu Mondray heshima kwako
balozi bitoz
shimba ntapata ripoti
mama mchungaji nakumis
mkuu mr T and sakayo
baba paroko
nyagei
mndali
shemela le mushenga papaa
mkuu dikteta
shululu
mzee mkavu sijui walikuteka
snipes
na wengine wote nawamis
R.I.P Angels
taifa linajengwaaaAsante kamanda karibu tupo habari ya ujenzi wa taifa
Asante DadaKaribu kakq
Mkuu mi niko kamili kama Mungu alivyo penda niwe habari ya hapo uliposalama chief uhali gan?
Mi niko poa za kupoteakwemaaa mkuu
Sawa kamanda tuendelee kuomba uzima kwa uimalishaji wa taifa letutaifa linajengwaaa
Morning mndaliMkuu mi niko kamili kama Mungu alivyo penda niwe habari ya hapo ulipo
Morning mama mchungajiKaribu kakq
Nzuri, za Sugu cityHabari ya kuamka wakuu
Mwelewe tuHuyu bhinamu ata simueleweii
Ubarikiwe mama mchungajiAsante sana
Asante mama mchungaji nawe pia uwe na jumapili njemaUbarikiwe mkuu Shululu asante sana kwa magazeti[emoji120] jumapii njema
Pamoja mkuu e2nAsante sana mkuu
Shedede katishaMungu Aendelee kukulinda. Ila mlinzi wako Shedede anatusumbua balaa kisa misuli. Jamaa mbabe sana. Mkanye!
Morning nyoka mzeemorning kwema kiongozii???
Mi niko poa Mr shululu habari za hapo kibahaMorning mndali
Njema mkuu Leo niko kwa mbeneNzuri, za Sugu city
mzima lakini?Morning nyoka mzee