Makapuku Forum

Kweli
 
hahah...h naona call me jay boy umegangamara kutetea kilimo (kiinua mgongo cha nchi)
sikatai kilimo ni kizur ila kwa mimi nilikikimbia huko kijijini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mjini hakuna shamba utalima lami
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ww ni chizi
 
asante magazeti

hivi mwanaume anabakwa vipi na mwanamke?? anapata wapi nguvu ya kusimamisha wakati huo wa kubakwa??
hao mabinti walichomfanyia huyo mlinzi n unyanyasaji wa jinsia wamemlazimisha awanyonye kila mmoja huku wanachukua video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…