shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Sabato njemaNipo njiani naelekea, hivyo huna budi unipe kampani mpaka nifike
Sabato njemaNipo njiani naelekea, hivyo huna budi unipe kampani mpaka nifike
Good brotherKijana mondray unaendeleaje
Pole sana kamanda mungu akuponye upone kabisaGood brother
You're so sweet!!!
Am nothing without you...
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Much kisses to you my love..
I will never stop loving you..
Safi za kwakoHabari yako kiongozi
Uwe unaacha ka-note kwamba unavuka borderNdio mkuu
AmenPole sana kamanda mungu akuponye upone kabisa
Huku kwema kamanda habari za mapandano na maishaSafi za kwako
Kesho isinyeshe asubuhiPole mkuu ila hata huku kunasehemu watu wanashindwa kutoka nje
Wacha waendelee na nyota zaoHahaa
Wao wanaita Nyota na Mwezi..
AmenSabato njema
Nilikuwa ndani ya nchi yetu ila nilikuwa bize sana na ilikuwa gafla ndo maana nilishindwa hata kuagaUwe unaacha ka-note kwamba unavuka border
Tuombe mungu afanye anavyo ona ina faa maana sisi tutasema mwisho wa siku tutatenda dhambiKesho isinyeshe asubuhi
Itakuwa imefanya jambo zuri
Pamoja kamandaAmen
Brother..
Sawa kamandaNilikuwa ndani ya nchi yetu ila nilikuwa bize sana na ilikuwa gafla ndo maana nilishindwa hata kuaga
AmenSawa kamanda
Mungu azidi kukupigania
Usiseme juu ya kutenda dhambi maana shetani nae anasikia hashindwi kujiinua kwako na ukatenda dhambi kweli.Tuombe mungu afanye anavyo ona ina faa maana sisi tutasema mwisho wa siku tutatenda dhambi
AmenAmen
Mungu ni mwema na atuzidishie upendo katika maisha yetu na tukumbukane katika maombi
AmenUsiseme juu ya kutenda dhambi maana shetani nae anasikia hashindwi kujiinua kwako na ukatenda dhambi kweli.
Muombe sana Mungu akuepushe na hayo mawazo