Amen mama mchungajiAmen Mkuu Nyagei nipo hapa nasimamia matangazo haya kwa karibuuu,Mungu awabariki
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Aisee ukiona huwezi aminiMpaka leo sielewi mwanaume anabakwaje
FafanuaHilo usiulize, wakiwa wengi unaweza hata kufa aisee
Amen Amen ubarikiweMorning mama mchungaji, uwe na jumamosi njema
Mh aiseeUnbelievable fact (UF) inafuata
Karibuni
HahaaaaaUnaogopa zile fine
Amen asante sana kwa ratiba ubarikiwe Nyagei kazi yako ni njemaUganda Premier League
Tuwe na wakati mwema Makapuku wote..
Ahsante mama mchungaji kwa udhamini wako wa michezo
Amen mamaMarahaba pole,vipi hali yako Mungu aendelee kukuponya mwili na roho
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Asante Nyagei
Kwa udhamini mnono wa Archduke UF imefikia tamati kwa leo.
Tukutane kwenye ratiba za michezo
Nzuri, vp unaendeleajeHabari za Asubuhi wakuu...
SIKU ZA MWISHO,WANAWAKE TUMEUMBWA NA HAYA ,KUFANYA MAMBO HAYA LAZIMA SHETANI AHUSIKE,INASIKITISHA SANA WALA SIO JAMBO LA KUCHEKA,TUMUOMBE MUNGU AOKOE KIZAZI HIKIHilo usiulize, wakiwa wengi unaweza hata kufa aisee
KumbeHilo jina liache siku hizi sina harakati
Ni kaka mchungaji kwa sasa
Hizi ligi nyepesi sanaGermany Bundesliga
Hii ligi inaendelea ila imeshakwisha bingwa ameshapatikana na waendaji wa UEFA nao wameshajulikana, tunapambana tusishuke daraja tu
Kwa niniSpain LaLiga
Leo sitobet
Dah ni kweli hayo au ni maneno tu?Hahaaaaa
1st unatakiwa umnunulie
Kitanda+Godoro
Kabati
Vyombo
Mkiachana anasepa navyo na ni lazima ununue kabla ya mahali..
Asante kwa ratiba ya sokaUganda Premier League
Tuwe na wakati mwema Makapuku wote..
Ahsante mama mchungaji kwa udhamini wako wa michezo