Hiyo ni kazi yangu nimepewa na boss Transcend ya kumlindia mali yake. Tanga raha boss kafa kaozaNyagei nawe naona unapambana. Naona nilipitwa au nimesahau tu. Mrs Nyagei ni nani? Sakayo ama? Kama vipi nipe kazi ya ulinzi nimfundishe kazi Shedede. Hutakuwa na wasiwasi tena mkuu na malipo yangu ni kidogo siyo fortune kama Shedede anavyomkamua Lee [emoji23][emoji23][emoji23]
Jibu la mzazi ni moja kwa moja unajua kuwa ni single parent familyWazazi wengine wamepinda duh! Katongole atakua ananuka balaa na mademu wakianza kumkimbia matatizo kibao ya kisaikolojia yanaanza - hasira, anti social, low esteem, loneliness, depression, inferiority complex na mengineyo kibao. Mzazi huyu huyu tena utamwona analalamika kuhusu matatizo ya mwanae. Kumbe angemsikiliza mwalimu wakasaidiana kuhakikisha kuwa Katongole anakuwa mtanashati yote haya yasingetokea.
Ambhe tataAya tata... Nyagei... [emoji2]
Ndio MuraBut nekomanyile...
...hivi ukisikia mlo kamili huwa unaelewa nini!? ( Jibu hili swali bila kujali kama una njaa au huna)
unaongea na mm auNataka unifanye spare tairi mm [emoji4]
Umeshawahi kusikia kilimo cha green house?Nafanya kazi Kk security but naona malipo si mazuri... " nitakufuata pm unipe maelezo vizuri[emoji4]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilipata majukumu ya kitaifa
Nawe piawakuu usiku mwema mlale salama
JibuHeee!
West Ham 1 Tottenham 0Eti wewe ni mtoto wa wenger?
[emoji83] [emoji12] [emoji83][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
HaaaaahaaaaNow we are talking. Angalau umegangamara kidogo hata mkwara kidogo unaeleweka. Ukiendelea hivi Lee akirudi nitamuomba akuongezee mshahara. Akigoma nitajitolea mwenyewe kwa sababu safari hii nyanya zangu zimekubali balaa hapa Koromije. Excellent job [emoji122][emoji122][emoji122]
Sakayo simjui, natamani sana nimjue[emoji106] [emoji106]
Vip ulilala ni nini shemelaSi mama mchuchu niliwasikia mnaulizana makabila
Umjuaje?Sakayo simjui, natamani sana nimjue
Kujibu ni shida, vita ni vitaNasikia tu mkuu
Sio ngoremeSijakulia usimbitini kiongozi, Pia sio msimbiti ni Mhacha