Makapuku Forum

ZABURI

14. Maneno ya kinywa changu ,Na mawazo ya moyo wangu ,yapate kibali mbele zako ,Ee Bwana ,Mwamba na Mwokozi wangu

Yatupasa kumuomba Mungu sana kutupa kibali kwa maneno tunayoyatamka,tunayojitamkia na kuwaambia wengine ili yawe ya

Kubariki
Kuponya
Kusaidia wengine wajisikie vema

Hili linawezekana tukimuomba Mungu tu,peke yetu hatuwezi

TUOMBE

BABA tunakuja mbele zako asubuhi hii tukikushukuru kwa wema wako na fadhili zako,Asante kutuamsha tena salama

Tunaomba toba kwa makosa yetu yote,tusamehe,tusaidie tuanze mwenendo mpya

Tunaomba ponya wagonjwa,fariji wafiwa,ponya najeraha ya mioyo iliyovunjika,angalia wajane na yatima,saidia tusonge mbele huku tukikutegemea

Bariki kazi za mikono yetu

Asante Baba maana utatenda na mapenzi yako yatimizwe

Tunakuomba wapokee marehemu wetu,wapumzike kwa amani

Tunaomba na kushukuru kwa jina la Yesu amen
MBARIKIWE
SIKU NJEMA
 
Ameen mama mchuchu ubarikiwe sana
 
amen!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…