Aisee na hivi hawalimi4/The Potato Femine
Chakula kikuu cha Waingereza ni chipsi samaki...sasa hili janga la njaa lilitokana na kuadimika kwa viazi kati ya mwaka 1845 hadi 1848
Ilisavabisha mamilioni ya watu kufa huku wengine wakikimbia nchi
.......
hii inashtua kwel kwel3/The Indian FamineHii njaa ya aina yake ilitokea mwaka 1769 nchini India
Iliua thwluthi moja(1/3) ya Wahindi wote kiasi cha maiti kuzagaa mitaani km matakataka
......
Powa VMambo wera
mmh za kizee tena....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]si salam zake za kizee shemela
siwezi kabisaNdio nataka kushanggaa
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]naona umegeukwa mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Nakumbuka ila Nukuu ya mama Theresa3/The Indian FamineHii njaa ya aina yake ilitokea mwaka 1769 nchini India
Iliua thwluthi moja(1/3) ya Wahindi wote kiasi cha maiti kuzagaa mitaani km matakataka
......
Wewe shemelaMh shemela mm au mondray
hahahha ilikua story moja kwenye gazeti la udaku mnyakyusa mbona alitelekeza familia yake mbeyaKuuza nazi!.....hii sijaisikia
namuonea huruma binamu obeSijui ana hali gani huko
hajaniambia kwamba ana mushenga humu humu ambaye ni mukongokwangu mm kwan lee hajakuambia
Na wanaume wa dar jeaisee na mm napenda chips wanawake wa dar [emoji134]
Mambo totooHabari zenu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Woyoooooooo in baba mchuchu's voice
nzur vip aganzaHabari zenu
Shindwaaaa tokaaaaa20M aisee haya majanga tuyakemee kwa maombi
yupo kazinihuko haliko mbali na upeo wa macho yako alikuwa anafanya nini kabla hajaniandika barua ya kufukuzwa kazi itabid ajibu kwa ufasaha maswali nitakayo muuliza akishindwa hata moja basi amefeli kunifukuza kazi.......
SalamaMambo totoo
Mimi mzima kabisa, tupo hapa makapuku tunalisonggeshanzur tu shululu upo mzima ww