2/
The Green Anaconda
Huyu kila mtu anamjua....Muvi ya Anaconda aliyoicheza Jeniffer Lopez inafahamika
Wanapatikana huko kwenye misitu ya Amazon Brazil
Wastani wa urefu wao ni futi 15 hadi 18
Aliyeweka rekodi alikuwa na futi 29 ila inasemekana waneshawahi kuwepo wakubwa zaidi ya huyo ila ushahidi bado hauhaonekana
......