Dmx ana watto 15 aisee nilikua sijuiNUKUU YA LEO
I just find myself happy with simple things. Appreciating the blessings God gave me
Huwa najikuta nina furaha kwa vitu kawaida tuu. Namshukuru Mungu kwa baraka alizonipa
Hayo maneno ya yaliwa kutamkwa na mwanamziki na mwigizaji wa kimarekani Earl Simmons kwa jina maarufu Dark in Max ( DMX) .
DMX alizaliwa 18/12/1970 jijini New York, nchini marekani.
DMX amefanya kazi nyingi kama Rappa wa Hiphop , moja wapo ni Party Up in Here, God give me a sign.
Lakini pia amecheza movie kama Last Hour, Romeo must Die, Belly na Exit wounds .
Dmx ameandika Autobiography aliyoiita E.A.R.L lakini pia amefanya series ktk kipindi cha The realite Television.
DMX ni star mwenye criminal records kubwa sana. Zikiwamo za Robbery, child supports na drug abuse.
Dmx ana watoto 15 kwa sasa hivi.
Naamini kila binadamu anatamani kuwa na furaha, Furaha ni kitu cha kipekee ambacho kila mtu anahitaji..
Muwe na FURAHA siku zote wakuu.
Chini kuna Hot song yake..hapo [emoji116][emoji116][emoji116]
Sijambo dear namshukuru Mungusafi mamy za kwako
Asante Mussolin kwa historia na Bitoz kwa picha mbarikiweLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
acha tu shemeji tupo tofauti sanaNashukuru kwa kulitambua Hilo
Ni kweli, sababu ya usafiri yeye asingeweza kuwawahi ZambiaIlifahamika km KK Eleven(Kenneth Kaunda XI) Nasikia Kalusha Bwalya aliponea chupuchupu sababu hakusafiri
....
mornie mukongoGoodmorning wadau
Kuhusu singeli ni kwa sababu ya ubunifu uliotumika kuutengeneza na kuutofautisha na aina nyingine ya kama ya kizazi kipyaMdau Nyagei kuna mengi kuhusu hii hoja na niseme tu, 'upekee' ndiyo unakosekana katika muziki wa sasa iwe ni muziki wa band, taarabu au kizazi kipya.
Hapa tunahitaji mjadala mpana, labda tutaweza fanya wakati mwingine.
Umewahi kujiuliza kwanini singeli ndo muziki unaovutia sana kwa sasa?
Lugumi ni nani?
Morning mukongoGoodmorning wadau
Lugumi ni kampuniLugumi ni nani?
Oscar Kambona namuona hapoLugumi ni nani?
AmenMagazeti haya yamewajiwa kwa udhamini mnono wa mama mchungaji Blessed Hope, Tukutane tena kesho
Na kwako pia mkuuAlhamisi njema makapuku wote
1976 - Walter Pandiani anazaliwa.
Staa wa zamani wa Derpotivo la Coruna na timu ya taifa ya Uruguay.
Alitengeneza jina zaidi pale alpokuwa Derpotivo la Coruna almaarufu Super Depo, ambayo ilisheheni nyota kama Diego Tristan, Roy Makaay na wengineo ambapo moja ya mafanikio yao ni kumtoa Bingwa mtetezi Ac Milan katika Uefa mara baada ya mechi ya kwanza Depo kufungwa 4-1 ugenini kabla ya kuwafunga mabingwa hao 4-0 nyumbani.
Alitaka kuwa wa kipekeeTongotongo la Asubuhi
Nepal ndo nchi pekee duniani benders isiyo na pembe NNE(mstatili)
Nepal inapatikana Kusini mwa Asia kati ya Tibet na China
Sasa sijui aliyebuni hiyo bendera alikuwa amevuta bangi gani hadi mupitisha mkasi na kuifanya iwe na umbo hilo
Asubuhi njema
..............
Asante mkuuNa kwako pia mkuu
Club nyingi za Spain zinamatatizo ya kipesaDeportivo ya sasa imezidiwa hata na Kimondo Fc
Jana tu imepigwa 6 nyumbani na Madripd
.....
Salama tuZa asubuhi wapendwa wangu
Happy birthday to Pandiani1976 - Walter Pandiani anazaliwa.
Staa wa zamani wa Derpotivo la Coruna na timu ya taifa ya Uruguay.
Alitengeneza jina zaidi pale alpokuwa Derpotivo la Coruna almaarufu Super Depo, ambayo ilisheheni nyota kama Diego Tristan, Roy Makaay na wengineo ambapo moja ya mafanikio yao ni kumtoa Bingwa mtetezi Ac Milan katika Uefa mara baada ya mechi ya kwanza Depo kufungwa 4-1 ugenini kabla ya kuwafunga mabingwa hao 4-0 nyumbani.