Mashabiki wa Simba bhana, kuna siku Kilimanjaro lager walikuwa wanazindua bia yao, nami kama kawaida nikajihudhurisha. Ili upate bia kwa bei ya kiwandani basi upige t-shirt yao ya njano. Nikaona ni ujinga kununua bia kwa bei ya soko