Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Mkuu kwa Leo nimeangalia mechi vizuri Madrid walizidiwa kiungo maana barc walivunja winga moja wakaongeza katikati ndo maana Madrid walizidiwasimpendi huyu, hapa nishamtukana matusi yote, yanayoandikika na yanayotamkika
Ujanjaujanja wa kutoshaNchi hii kila kitu ni shida
Nawe pia nsekwa
Asante sana, karibuNawe pia nsekwa
Nawe piaUsiku mwema...
Nawe piaUsiku mwema
Nipo ndugu yanguHebu tuburudike na gitaa la gospel kidogo wakati tunajipanga kuianza wiki nyingine nzuri
BlessedHope usiadimike sana, nitapata presha.