Leo na hivi mfungo umeisha, unanunua tatu unapewa tatu za promotion. Nishanunua 12, jumlisha na za promotion mwenyewe tusiitane walevi nasubiri sala ya BlessedHope

mmmh, nilijitahidi kulimit objectives zangu katika mijadala ya kisias lakini wachangiaji wengi tukawa 'subjective' sana na huu usubjectivity ni ucaptivity, huwezi kuona mazuri upande mwingine