Kumekuchaa mkuuKumekucha mkuu, habari za asubuhi, ahsante kwa updates za newspaper
Kwema ??Nzur za ww
Karibu mkuu tuitembezeeHii thread inatembea....
Kwema tuKwema ??
Amenmakapuku
siku njema uonekana hasubuhi, na mimi kama kama kapuku mwenzenu nawatakia siku njema yenye mafanikio
leo una kila sababu ya kutimiza jambo ulilolipanga kwakua unauwezo mkubwa within you though you had doubt yourself
ebu anza siku ya leo ukiwa na ma positive thinking in your mind, ahahah!
lakin hayo yote yataenda bila kumsahau Mungu wako
[emoji40] [emoji40]
[emoji134]
huyu miss hakomagi na pic za uchi sijui anaskia raha ganiUdaku...
Hongera kwa 170kKwenye ubora wake
mornie my love umeamkaje lknTuwe na Siku njema wakuu
Coolhabari za asubuhi wakubwa
mmeamkaje??
Dada akee shunie shikamooMorning my love
shikamoo shemela wa shunieMorning waku mu muvike salaama huko..
mama mchuchu shikamoo hope umeamka salamaMorning uwe na siku njema ubarikiwe
T wa dada shikamoo nilijua leo watakuteka tenaMorning love...
Morning mboni yangu...
Uwe na siku murua..
nyoka mzee shikamooJaman kwema umu ,hodi mpaka vyumbani?
Msiogope nakuja fanya usafi wala sina madhara mie[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]