Kumbe tupo wengi tuliosalitiwa, hata mimi Sakayo leo kaniambia hanikumbuki kabisaa kisa kapata kipya nimenawa mkono kwa kweli nimelia kimya kimya yani nimemkuza kiimani, tumekua tukisali wote yaniii naomba kwaresima iendelee tu maana wasaliti wapo bado