Makapuku Forum

Morning mkuu..
Morning fam
Mume wangu kipenzi
Roho ya Sakayo
Sweet wa nafsi yangu
Barafu wa moyo wangu
Nyongo mkalia ini la Sakayo
Mwanaume wa ndoto zangu jamani, ni muda wa chai sasa nimekuandalia mtori hunie hali ya hewa si unaiona lakini..... Karibu chai...

Wana familia Karibuni chai.....
 
Mapenzi mubasharaaa

Watajinyonga wengi aiseeeeeeh

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…