Makapuku Forum

binamu ujue sipo sawa mjomba ako anataka kuniacha ndio nabembeleza hanielewi


Haiwezekani labda tu sijui kapatwa na pepo gani. Dadaake ambaye mimi ni mama yangu mwanzoni tulijua umemlisha limbwata, tukamuendea kwa 'fundi' fundi hakuona kitu tukaingia kwenye maombi tukapata jibu kuwa anakupenda upeo. Hakai wala hatembei.

Ana mapenzi mubashara, mjomba lee empire hebu achana na mambo ya pasaka rudi kwa auntie
 
Bado tuko Afrika Magharibi katika kuwaangalia wacharaza nyuzi za gitaa wanaosifika katika tasnia ya muziki.
Leo tumwangalie “The Hendrix of the Sahara”, Vieux Farka Touré mtoto wa gwiji la gitaa nchini Mali aliyezaliwa mwaka 1981. Husemwa, maji hufuata mkondo basi ndivyo ilivyo kwa kijana huyu kwani baba yake Ali Farka alikuwa mpiga gitaa na muimbaji mzuri kupata kutokea nchini Mali. Ali alifariki mwaka 2006 kwa kansa.

Mwaka 2010, Vieux alitumbuiza katika tamasha la ufunguzi wa FIFA World Cup lililofanyika South Africa.

Hii ni clip ya YouTube, sikiza nyuzi.

Hadi wakati mwingine tena.

 
Bhinamu najua fika unajua navomuusuduu huyu auntie yako ..tumepitia mabonde mengi yote uliyosema hujakosea ata kidogo ...Mimi nampenda sana kama unavojua ila yeye aliomba talaka ya mwaka niliumiaa kweli ila navomuheshimu nkamkubalia kinyonge ...ata kule sikuwahi kurudi nilipokuwa napitisha macho kipindi nakuja kwako ...
 
Asante sana bhinamuuu
 
binamu labda ww anaweza kukuskia
 
baby ule ni utani tu ww mwenyewe uliniambia kapuku huku n utani tu jaman
 
binamu shukran hivi waziri wa njenje lile n gita gan nataman siku umuweke
 

Brighton imepanda daraja rasmi kucheza EPL
Newcastle nayo bado kiduchu tu
Zimebaki mechi 3
Blackburn na Wigan iznaelekea kushuka daraja hadi daraja la pili

NB:
Timu ya 3 hadi ya 6 zitacheza playoff kugombea nafasi moja
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…