Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Weka nyama mkuu tupate mawili matatuNa wewe pia mkuu...
ile ishu ya Bay of pigs invasion ndio imenifanya nilete nukuu ya Fidel Castro leo..
Baadaye nitatia Nyama kidogo nikipata muda..
Ngoja BitoZ aweke picha kwanza.
Sawa mkuu naweza pata picha yake?Kuna vinywaji pia vinatumia hilo jina
Na kina Othman njaidi mda sna aiseeNakumbuka enzi ya Marehemu Amina Chifupa.
Marahaba roho ya lee..sijambo shikamoo shem wangu roho yake dada
Ndoo maana tuliwafunga 4 bure ...hayajaisha bana ndio yameanza
umemjib nzuri na wkt ni mbayaDaaaaaaaah hivi si nimemjibuuu
Kwelii kabisa na aliyekutoa ofa asubh kakuwezaaakili za heinken
iko poa sana sema lee kanuna na kufungwaMarahaba roho ya lee..
Pasaka iko pouwa eeh?
Kwa hiyo jana usiku alikubania?iko poa sana sema lee kanuna na kufungwa
hahahha we ni chizi ujue nimetoka church nipo hapa nakunywa mbili tatuKwelii kabisa na aliyekutoa ofa asubh kakuwezaa
Kwendaaa zakoo ....na mtafungwa alhamis timu gani inaingilia ratiba ya brother k na sharobaro futuhi ....ujue nimekusalimia huku nimepiga goti ata kama haunioni yaan kwa heshima zote
ana mgomo shemela naona mpk ukiisha ndio nitapewaKwa hiyo jana usiku alikubania?
Aya mbaya nani anaongoza ligiiumemjib nzuri na wkt ni mbaya
haturudi hiyo nafasiNdoo maana tuliwafunga 4 bure ...
Ndo maana mmekaa nafasi ya 6 na mtarudii tena ...
Leo Katika Historia:
1946 - Syria yapata Uhuru wake toka kwa Ufaransa.
hahahhah kwahiyo unakataa sijapiga magoti huku nimekuamkiaKwendaaa zakoo ....na mtafungwa alhamis timu gani inaingilia ratiba ya brother k na sharobaro futuhi ....
Hivi wewe umefungwa mara ngapiii ...na tungewafunga mngelilalamika sisi waonevuuiko poa sana sema lee kanuna na kufungwa
Mkuu ebu usimsikilizee alafu aliomba taraka ya mwakaKwa hiyo jana usiku alikubania?
kuongoza ligi sio issue ujueAya mbaya nani anaongoza ligii
Mbona unakuwa na akili kama za yanga
Mmh mm si nakufwa jamaan au nikifa utafurahi usinifanyie hivyo nimeshajifunzaMkuu ebu usimsikilizee alafu aliomba taraka ya mwaka