Makapuku Forum

Duuh, afu North korea juzi ameshindwa kufanya test ya ICBM

Kuna wadau wanasema yalikuwa fake lakini pia wako wanaohisi kitengo cha Cyber-war cha marekani kimeingilia mfumo wa majaribio wa missiles za nchi hiyo ya Korea kaskazini.
Maneno mengi ni propaganda tu zinachosha
Waanze kupigana sasa
.....
 
Pole na msiba mkuu Nyagei
 
Pole Sanasana mkuu Nyagei,Bwana alitoa,Bwana ametwaa jina lake libarikiwe,Mungu akupe uvumilivu wa kimapendo akupe moyo wa subira huku ukimuangalia Mungu tu,pole mama na familia yote kwa kumpoteza mpendwa dada...Raha ya milele umpe ee Bwana,na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani dada mpendwa..pole Nyagei,nimeumia sana
 
Amen mama mchungaji
 
Maneno mengi ni propaganda tu zinachosha
Waanze kupigana sasa
.....
Sidhani kama us atamshambulia Kim-jung

China, na south korea wanasapoti us katika propaganda na mwisho wataitishi usuluhishi..manake sidhani kama japan na china wata wawe bullet proof ya marekani..

Manake sasa vita itapiganwa korea kask. Korea kusini na china..ndizo nchi ziliozopakana na korea kask.

Ngoja tuona kama Trump atajaribu kutupa kombora hata moja..
 
Amen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…