Makapuku Forum

Amen mama Mchungaji, nimepokea kwa Imani
 
Amen
 
Mi nimeamka salama mkuu japo kuna taarifa nimezipta usiku kuwa kwaya ya kijito nyama ya dar imevamiwa hotelini ilipo kuwa imefikia
Wapi huko?je-hali zaoMungu awe upande wao wawe salama kimwili na kiroho , tunaomba utupe taarifa kamili,tunawaombea usalama na uzima damu ya Yesu iwafunike[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…