Makapuku Forum

Mungu wa mbinguni tunakushukuru kwa kutustahilisha kuiona siku ya leo tukiwa wazima na wenye nguvu,asante kwa ajili ya neema hii,tunajikabidhi mikononi mwako,mbariki kila mmoja mahali hapa sawasawa na hitaji la moyo wake,tufundishe njia zako Bwana,tuongoze katika yote tunayoenda kufanya siku ya leo yawe kwa ajili ya sifa na utukufu wa jina lako takatifu, katika jina kuu takatifu lipitalo majina yote jina la Yesu Kristo naomba na kushukuru Amen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…