Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Imagine unaamka asubuhi unacheki profile unakuta,no likes,no posts,no trophy points,namba zote zinasoma zero.
Du...am i in the right place!?Wewe wa kitambo toka 2009

Ila tuendelee kuwepo tuoge likes hata hizo zinatoshaata mimi nimeomba kusajiliwa nashangaa bado niko benchi tuu sasa cjui ni kiwango duni![]()
![]()
Unakaribishwa mkuu,usiwe na shaka.Du...am i in the right place!?![]()
Msijali kesho mtakuwa kwenye list.Ila tuendelee kuwepo tuoge likes hata hizo zinatosha
Unapika?Mpaka kuni zitakapoisha
Kweli kabisaHuyu inabidi tumuundie kamati.
Iundwe tumeHuyu inabidi tumuundie kamati.
Ndiyoo tumeuwasha makapuku...Unapika?
Washachoka hao...Nasubiria counter-attack ya wakongwe... hili ni bonge la mechi.... ball possesion makapuku wanaongoza
Leo hata kulala hakuna hadi maadmin waombe po....
Mpaka utapike likesDaaah huu moto utawaka mpk lini?