Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sikutegea kama Leo ntapata wa kusogeza nae mda humu make mambo ya sikukuu nayajuaa tungelionana keshokutwa make mngelichanganya na hangover za kesho ....ShiKamoo dereva wa roliiii ....Leo majukwaa mengi wapo watu

Mytake ;sio povu
Hahaha
Mie kati ya siku ambazo sipendi kutoka ni siku Kuu bhana, huwa nalala kutwa nzima...

Mambo ya kutoka waachie wa Dar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom