Mkuu mi huku kunituma rafiki yangu biashara ya magari huwa siifanyi na sijajua sana hii biashara labda ukihitaji nitakuunganisha na jamangu mwingine yeye huwa anauzoefu na hizo biashara