Mimi lasta man nyuma imani inaktaa[emoji23] [emoji23]Tuko poa mboga za majani
Vip leo hatuli nyama[emoji3][emoji3]
kweli kabisa mkuu!NUKUU YA LEO
In order to succeed, we must first believe that we can
Ili tuweze kufanikiwa, ni lazima kwanza tuamini kuwa tunaweza
Haya maneno yalipata kutamkwa na mwaandishi, mwanamashairi na mwanafalsafa wa kigiriki Bw. Nikos Kazantzakis. Nikos alizaliwa tar 18/02/1883 na kufariki 26/10/1957 akiwa na miaka 74.
Alizaliwa Ottoman Empire ambayo leo hii inafahamika kama Ukigiriki.
Nikos anakumbukwa kwa kazi zake nyingi kama
Zorba the Greek
Last Temptation n.k
Falsafa ya tuamini kwanza tùnaweza ndio ilikuwa presidential campgain slogan ya Rais mstaafu wa marekani Barack obama mwaka 2008 .
Ni maneno yenye uzito ukiyachambua kwa kina!
Motivational kwetu;
Unapoona jambo kama ni gumu kumbuka hii slogan ya Yes we can! Inakupa nguvu, ari na moyo wa kuona jambo gumu linawezekana.
Believe! You can
Transcend.
ha hahhahahah, umesikia nyama hata kuandika vizuri umeshindwa , kifupi umejikuta unapata njaa ya nyamaMimi lasta man nyuma imani inaktaa[emoji23] [emoji23]
Nyuma=nyama[emoji23] [emoji23]Mimi lasta man nyuma imani inaktaa[emoji23] [emoji23]
Bwana weeeha hahhahahah, umesikia nyama hata kuandika vizuri umeshindwa , kifupi umejikuta unapata njaa ya nyama
red isomeke rasta
bllue isomeke nyama
kijani isomeke inakataa
Nenda kale nyama, angalia pic yangu profile utajua nyama ni uhai.
Master wa guitar?ha hahhahahah, umesikia nyama hata kuandika vizuri umeshindwa , kifupi umejikuta unapata njaa ya nyama
red isomeke rasta
bllue isomeke nyama
kijani isomeke inakataa
Nenda kale nyama, angalia pic yangu profile utajua nyama ni uhai.
Kuna haja ya kuchanganya na wakubwa timu imejaa watotoWalikosa nidhamu ya kumalizia mchezo
Wamefungwa goli za kizembe
......
SawaNdiyo, na ndiyo maana wakanipa shikamoo.
Nakuona soudyMlinzi wako mimi ni barcelona
Chama kikubwa boss
Kaka naweza jifunza gitaa bila mwalimu!?Habari za muda Makapuku! Haijalishi siku imeendaje lakini kesho ni siku nyingine tena, unaweza kupata Krismasi ndani ya Kiangazi
Nimekuwa na mfulululizo kwa kuleta wakung'uta magitaa maarufu kwa Uropa, USA na hata hapa kwetu Tanzania, leo ninaye gwiji mwingine japo kwa ufupi.
Eric Clapton, huyu ni gwiji kweli kweli katika kucharaza nyuzi za gitaa, mzaliwa wa Uingereza na keshwatwaa zaidi tya tuzo 18 za Grammy.
Mwaka 2004 alipewa tuzo ya CBE ( Commander of the Most Excellent Order of the British Empire) juu ya mchango wake katika tasnia ya muziki, tuzo hii ni ya juu kabisa kushinda tunzo niliyonayo mimi Kapuku mwenzenu yaani OBE ('Officer of the Most Excellent Order of the British Empire). Sitaki kujielezea mwaka gani niliipata, wakati mwingine nitaielezea wacha leo nimwelezee Eric Clapton.😵
Clapton hapa karika video ya YOUTube anacharaza gitaa pamoja na gwiji wa wakati wote BB King.
Wacha nyuzi ziongee
Nitajoini zeaMsijali j3 nahisi tutafanya hivyo coz nisiku yke yakuzaliwa so tutawasapraiz
Tunakupenda pia mondrayBwana weeeee hizi siku niko busy nitakua nawachungulia tu!
Btw.
I love you sana
Blah blahMlio lisoma hili gazeti....siri gani nzito aliyoifichua Roma!?!?
Sawa mwishiwa ObeHabari za muda Makapuku! Haijalishi siku imeendaje lakini kesho ni siku nyingine tena, unaweza kupata Krismasi ndani ya Kiangazi
Nimekuwa na mfulululizo kwa kuleta wakung'uta magitaa maarufu kwa Uropa, USA na hata hapa kwetu Tanzania, leo ninaye gwiji mwingine japo kwa ufupi.
Eric Clapton, huyu ni gwiji kweli kweli katika kucharaza nyuzi za gitaa, mzaliwa wa Uingereza na keshwatwaa zaidi tya tuzo 18 za Grammy.
Mwaka 2004 alipewa tuzo ya CBE ( Commander of the Most Excellent Order of the British Empire) juu ya mchango wake katika tasnia ya muziki, tuzo hii ni ya juu kabisa kushinda tunzo niliyonayo mimi Kapuku mwenzenu yaani OBE ('Officer of the Most Excellent Order of the British Empire). Sitaki kujielezea mwaka gani niliipata, wakati mwingine nitaielezea wacha leo nimwelezee Eric Clapton.😵
Clapton hapa karika video ya YOUTube anacharaza gitaa pamoja na gwiji wa wakati wote BB King.
Wacha nyuzi ziongee
Salama kakaSakayo heshima yako
Ulimwengu wa smartphoneha hahhahahah, umesikia nyama hata kuandika vizuri umeshindwa , kifupi umejikuta unapata njaa ya nyama
red isomeke rasta
bllue isomeke nyama
kijani isomeke inakataa
Nenda kale nyama, angalia pic yangu profile utajua nyama ni uhai.
Kaka ni nini lakini???!Humu mko poa wapendwa!
Yaani wewe mbaya siku hizi!Kaka ni nini lakini???!
Kwema???! Nimekutafuta ivo Jamaniiii