Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,322
- 68,399
Ok, asante kwa nyongeza.ilijulikana km vita ya Kagera
Chanzo ni Amin kuivamia Kagera kwa makombora ikiwemo kuharibu mali na miundomini ikiwepo daraja la mto Kagera alikuwa anasapotiwa na swahiba wake Gaddaff
.....
Amen AsantePole sana Mama mchuchu Mungu akufanyie wepesi kwa hayo unayopitia
hayo ni mapito tu yatapita utarudi kwenye hali yako [emoji120] tunakuombea na tunakupenda sana.
Amen Asante-Don't worry, Mungu ni mwema kila wakati.
View attachment 494114
sisi je atatusaidia nan1979 - Utawala wa Dikteta Idd Amini Dada wa Uganda unafikia kikomo nchini humo mara baada ya kuondoshwa na majeshi ya Tanzania katika vita ya Uganda.
Kama ulikuwepo mkuu. Ila walikuja kufanikiwa kumtegeshea sumu na kumuua japo CIA hawajakiri.hawakutumiwa na CIA?
....
1991 - Thiago Alcantara anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Barcelona ambaye kwasasa anacheza Bayern Munich na timi ya taifa ya Spain.
Haswaaa. Ila yeye ndio anajua sana soka kuliko mdogo wake.
Ni Mbrazil km Diego Costa
Mtoto wa staa wa Brazil Mazinho
Yy na Rafinha ni mtu na kakaye japo timu za Taifa wanachezea tofauti
.....
Hata timu zao za Taifa hazina maajabu.
Wasauzi km Waingereza tu hawana vipaji kelele nyongi
....
Shukrani...Asante Mussolin kwa historia na Bitoz kwa picha
Sisi hatujamchokoza mtu.sisi je atatusaidia nan
1996 - Delle Alli anazaliwa.
Staa wa sasa wa Tottenham na timu ya taifa ya Uingereza.
BBC wanasema Delle Alli ni bora kuliko Gerrard, Lampard na hata Scholes.
2012 - Ahmed Ben Bella anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa kwanza wa Algeria.
Waingereza kwa promo tushawazoeaBBC wanasema Delle Alli ni bora kuliko Gerrard, Lampard na hata Scholes.
Akhaaaaahaki we mtu ni shida
UpiiiiHahaha
Acha uchochezi shem
Hakuna cha yaaniiiWa uwanjani yaaani
Pamojaaa mkuuuLeo katika Historia:
Niwatakie Jumanne njema.
KaribuuuKweli makapuku mna balaa si kwa spidi hii