Makapuku Forum

Michezo..


Yanga SC 1-0 MC Alger

Mtaji wa goli moja ni mzuri kwa maana ya kutangulia ila ni mtaji mdogo kwa maana ya mchezo ujao anakuwa mgeni kule uarabuni Algeria...

Performance yenye ubora kutoka kwa Yanga imewafanya wapate matokeo ila imetoa pia burudani.. . GL ukifanikiwa kukifanya kile ulichokifanya kule Zambia unaweza kufika mbele zaidi..
 
Unamanisha Ngolo Kante' anatakiwa Real Madrid!?!?
Ila haiwezekani koz Chelsea tunampenda sana
 
HAPPY ONE YEAR ANNIVERSARY THANK YOU LORD FOR BRINGING US THIS FAR ..ASANTE MUNGU KWA UMOJA ,UPENDO,MSHIKAMANO,MAELEWANO ,KUJALIANA NA TUNAOMBA UTUJALIE UZIMA ILI TUWEZE KUDUMISHA MSHIKAMANO HUU..ASANTE SANA WOTE WALIOANZISHA JUKWAA HILI NA WANAOSIMAMIA KWA UPENDO NAJISIKIA AMANI KUWA MAHALI HAPA NASHUKURU SANA KWA NAMNA TUNAVYOCHUKULIANA KWA UPENDO..WE BELONG TO EACH OTHER..THANK YOU LORD


1.Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa,
/wakipatana vema na wakipendana/

2.Kama umande mzuri unyweshavyo shamba,
/hivyo na Mungu wetu abariki ndugu/

3.Upendano hujenga boma zuri kwao,
/wakae kwa amani waliookoka/

4.Na ulimwengu wote wavutwa nuruni,
/halafu kundi moja na mchunga mmoja tu/

TUDUMISHE UMOJA WETU:

Waebrania 10:24 tukaangaliane sisi kwa sisi na kuhimizana katika upendo na kazi nzuri

Mhubiri 4:9,10,12 9 afadhali kuwa wawili kuliko mmoja maana wapata ijara kwa kazi yao

10 kwa maana akianguka mmoja wao atamwinua mwenzake ,lakini ole wake aliye peke yake aangukapo wala hana mngine wa kumuinua........

12hata ikiwa mtu aweza kumshinda yule aliye peke yake ,wawili watampinga wala kamba ya nyuzi tatu haikatiki upesi...


mbarikiwe sanasana ,daima tuombeane

Asante Mkuu Bitoz kwa kuwa mwanzilishi na kutupokea mahali hapa asante wakuu wote mnaoendelea kupafanya mahali hapa kuwa pazuri kwetu wote.

Amen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…