Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,559 Apr 7, 2017 #159,181 Aishah2016 said: Wee ngoja akusikie Click to expand... Aaah Snipes ndugu yangu hawez mind
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Apr 7, 2017 #159,182 Mondray said: JE WAJUA? Zaidi ya nusu ya siraha zote zinazo tengenezwa duniani zinanunuliwa na Wamarekani. Click to expand... Ili kujilinda zaidi
Mondray said: JE WAJUA? Zaidi ya nusu ya siraha zote zinazo tengenezwa duniani zinanunuliwa na Wamarekani. Click to expand... Ili kujilinda zaidi
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 Apr 7, 2017 #159,183 Mondray said: Daah jamani simu ndio hivyo inazima..ngoja niipotezee kwanza then nitarudi kushusha nondo. One love. Click to expand... Duhhhh
Mondray said: Daah jamani simu ndio hivyo inazima..ngoja niipotezee kwanza then nitarudi kushusha nondo. One love. Click to expand... Duhhhh
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 Apr 7, 2017 #159,184 Mondray said: JE WAJUA? Mbu wameua watu wengi zaidi ya watu wote walio uawa kwenye historia za vita duniani. Click to expand... TRUE
Mondray said: JE WAJUA? Mbu wameua watu wengi zaidi ya watu wote walio uawa kwenye historia za vita duniani. Click to expand... TRUE
Aishah2016 JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 2,225 Reaction score 2,482 Apr 7, 2017 #159,185 Nyagei said: Tusemeje sasa Click to expand... Tumtafute tuungane maana naona mondray anataka kunirithi namm ctak aisee
Nyagei said: Tusemeje sasa Click to expand... Tumtafute tuungane maana naona mondray anataka kunirithi namm ctak aisee
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,559 Apr 7, 2017 #159,186 BATTLE. Kati ya Mfalme Solomon na Menghis Khan nani alilala na wanawake wengi? Nikirudi nikute majibu ya hii battle
BATTLE. Kati ya Mfalme Solomon na Menghis Khan nani alilala na wanawake wengi? Nikirudi nikute majibu ya hii battle
joshydama JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 4,623 Reaction score 5,049 Apr 7, 2017 #159,187 Uko wapi mrembo shunie? Jitokeze mtoto mzuri nimekumisi sana!
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,559 Apr 7, 2017 #159,188 Cm imebaki na 1% nitarufi baadae.
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Apr 7, 2017 #159,189 Mondray said: JE WAJUA? Mbu wameua watu wengi zaidi ya watu wote walio uawa kwenye historia za vita duniani. Click to expand... Watu zaidi ya milioni moja (1ml) hufa kutokana na mbu
Mondray said: JE WAJUA? Mbu wameua watu wengi zaidi ya watu wote walio uawa kwenye historia za vita duniani. Click to expand... Watu zaidi ya milioni moja (1ml) hufa kutokana na mbu
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Apr 7, 2017 #159,190 Aishah2016 said: Hahaha paka akiondoka panya hutawala Click to expand... Unaamini katika hilo
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Apr 7, 2017 #159,191 Mondray said: Shusha picha bwana leo kamera man wangu kapotea. Click to expand... Najitahidi
Aishah2016 JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 2,225 Reaction score 2,482 Apr 7, 2017 #159,192 Mondray said: BATTLE. Kati ya Mfalme Solomon na Menghis Khan nani alilala na wanawake wengi? Nikirudi nikute majibu ya hii battle Click to expand... Kingiii solomon
Mondray said: BATTLE. Kati ya Mfalme Solomon na Menghis Khan nani alilala na wanawake wengi? Nikirudi nikute majibu ya hii battle Click to expand... Kingiii solomon
Aishah2016 JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 2,225 Reaction score 2,482 Apr 7, 2017 #159,193 Nyagei said: Unaamini katika hilo Click to expand... Yeah watu huwa wanaaply
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,429 Reaction score 27,123 Apr 7, 2017 #159,194 Hapa ndio unaweza ukataman uwe mume wa faru ili umsaidie kupanga matumizi
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Apr 7, 2017 #159,195 Mondray said: JE WAJUA? Mmoja kati ya watoto 5000 anazaliwa bila Anus. Click to expand...
Aishah2016 JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 2,225 Reaction score 2,482 Apr 7, 2017 #159,196 multiphill90 said: Hapa ndio unaweza ukataman uwe mume wa faru ili umsaidie kupanga matumizi Click to expand...
multiphill90 said: Hapa ndio unaweza ukataman uwe mume wa faru ili umsaidie kupanga matumizi Click to expand...
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Apr 7, 2017 #159,197 Mondray said: JE WAJUA? Bible imetafsiriwa kwenda Klingon, Lugha ya allien iliyotumika katika muvi ya Star trek Click to expand...
Mondray said: JE WAJUA? Bible imetafsiriwa kwenda Klingon, Lugha ya allien iliyotumika katika muvi ya Star trek Click to expand...
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Apr 7, 2017 #159,198 Mondray said: JE WAJUA? Viongozi wengi wa misri ya zamani wengi walikua wanene sana na walikua wanaumwa kisukari. Click to expand...
Mondray said: JE WAJUA? Viongozi wengi wa misri ya zamani wengi walikua wanene sana na walikua wanaumwa kisukari. Click to expand...
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Apr 7, 2017 #159,199 Aishah2016 said: Tumtafute tuungane maana naona mondray anataka kunirithi namm ctak aisee Click to expand... Sawa tuanzie wapi
Aishah2016 said: Tumtafute tuungane maana naona mondray anataka kunirithi namm ctak aisee Click to expand... Sawa tuanzie wapi
Aishah2016 JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 2,225 Reaction score 2,482 Apr 7, 2017 #159,200 Nyagei said: Sawa tuanzie wapi Click to expand... Tuanze jukwaa moja tukimaliza tunaenda pengine