sante kwa nikuu ya leoNUKUU YA LEO
The future belongs to those who prepare for it today
Maisha ya baadaye ni ya wale wanaoweza kuyaanda leo
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na Mwanaharakati na mmarekani mweusi Malcolm Little au Malcolm X ambaapo pia aliitwa el-Hajj Malik el-Shabazz.
Malcolm Alifariki akiwa na miaka 39 kwa mauhaji yaliyofanyika NY katika kitongoji cha Manhattan kwa kupigwa risasi 21 kifuani
Hata hivyo Malcolm X aliacha watoto 6 na mjane mmoja.
Mliopata kusoma historia ya taifa la marekani na pan-africanism mtakuwa mnamkumbuka huyu jamaa vizuri.
Wakuu:
Tuandae kesho yetu leo! Ukitakata uwe na nyumba mwakani lazima ujiandae leo! Ukitaka kuwa mtu wa namna fulani lazima ujiandae leo..!
Make your tomorror!
Transend ..
shukran mama mchuchu na kwako pia tunakupenda sanaWapendwa makapuku naamini Mungu amewaamsha salama,tuendelee kumshukuru kwa wema wake kwetu,wagonjwa poleni Mungu atawaponya,wenye changamoto yoyote Mungu aingilie kati,waliofiwa poleni sana Mungu awape faraja ya kudumu ..nawatakia siku njema yenye baraka tele..na mpate mafanikio Amen
[emoji15] [emoji15][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] sikuweziiii
pole sana Mungu atakuponyaMy leg situation is too bad now I has decided to attend Babtist medical for checkup!!!
Plz Ur prayers to me!!
upande wa pili upi huo mzee wa kilingeSo sorry my bro daah...
Kuna mwaka bibi yangu nayy aliumwa mguu na tatizo lilikua amechomwa na nyasi lakini kilichotokea ni shida tupu.
My Take.
Usisahau/usidharau kuenda upande wa pili bro waweza poteza mguu wako...
Ni full jombaaNiaje wanakapuku??
Kitisheti uko bombaaaNi full jombaa
Habari ya wewe
Mmhuu kwa tatizo lake lilivyo am sure 75% sio ugonjwa wa hospital (ashanielezea lilivyo).upande wa pili upi huo mzee wa kilinge
Asante my dear karibushukran mama mchuchu na kwako pia tunakupenda sana
mtumie dawa sasaMmhuu kwa tatizo lake lilivyo am sure 75% sio ugonjwa wa hospital (ashanielezea lilivyo).
Si kaenda hospital utaona kama atafanikiwa japo siombei iwe hivyo.
Pamoja shemela..sante kwa nikuu ya leo
Kwema kaka[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwema mkuu
Unaguna nini shunie..Mmmhh
hata sikumbukiUnaguna nini shunie..
Hahaaa nipo mbali sana na home kwangu ningefanya kitu sjili yake we are neighboursmtumie dawa sasa
Ooh maskini ukirudi jitahidi kumsaidia anaonekana anateseka sana ila jana alikua anaendelea vizur tu maskiniHahaaa nipo mbali sana na home kwangu ningefanya kitu sjili yake we are neighbours
Hapana sidhani kama nitarudi ssa hv am in ma way to zenj na ninaweza kaa hata miezi 9 nitamuelekeza tu aende somewhere kama itashindikana huko alipo enda.Ooh maskini ukirudi jitahidi kumsaidia anaonekana anateseka sana ila jana alikua anaendelea vizur tu maskini
safari njema nawe ufike salama ila znz uwe makini tu na watto wa kizanzibar usije ukarudi kigoma na bushaHapana sidhani kama nitarudi ssa hv am in ma way to zenj na ninaweza kaa hata miezi 9 nitamuelekeza tu aende somewhere kama itashindikana huko alipo enda.
Hahaaaaaaaa hawawezi bwana si nimeaga nyumbani kwa wazeeesafari njema nawe ufike salama ila znz uwe makini tu na watto wa kizanzibar usije ukarudi kigoma na busha