[emoji120] [emoji120]Wapendwa Makapuku namshukuru Mungu kutuamsha salama na kutufikisha umbali huu,tunapaswa kumshukuru Mungu kwa yote anayotutendea maana anatupenda anatutunza na hajatuaacha katika mapito yote wako wengi wanatamani kuwa kama sisi hawajaweza,wengine hawajaamka kabisa,wengine wako vitandani wanaugulia na hata wengine hawana tumaini tena tumuombe Mungu atusaidie kuwa wavumilivu tunapopitia changamoto mbalimbali maana ndio ubinadamu,naomba Amani itawale ,upendo na mshikamano ....tufanye kazi kwa bidii huku tukimshirikisha Mungu katika kila jambo ..nawatakia jumanne njema ndoto zetu zikafanikiwe..nawapenda sana sana muwe na kila sababu ya kufurahia maisha na zawadi hii adimu ya uhai tuliopewa na baraka zote..Amen
MmmhThanks
Mdogo wako yeye kuamka saa 5
Nipo mgahawani napata chai
Asantee babes....!Handsome
It's lunch time my hubby, tujisogeze mezani mume wangu.....
Karibuni lunch wana kapuku, penda nyie sana
Kigogo ?hivi umejuaje dada tunaokaa mabondeni hata kutoka hatuwezi
[emoji23][emoji23]Toroka ujeeee
Poleni kwa mvuaza mchana now, unaendeleaje
JangwaniKigogo ?
Nibariki na mimiSalama mzima?ubarikiwe
santeeePoleni kwa mvua
What do you mean?Missed this moment ago
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] nilimsikia Mama Jose akikusifia nami nikataka nisifiwe [emoji125] [emoji125] [emoji100]
Nipo kaka Kaghame, mishughuliko mingi Papaa!!!Ndg yangu, tumetoka mbali sana, mbona hatuonani?
Merci bocoupNipo kaka Kaghame, mishughuliko mingi Papaa!!!
Huko si mshaambiwa muhame..Jangwani
mukongo [emoji23]Nipo kaka Kaghame, mishughuliko mingi Papaa!!!
hatuna pa kwendaHuko si mshaambiwa muhame..
kino nikafanye nn shemela mmHahahaaa!
Nakuona uko kino!
kwaresma mwisho tar 15 vipi kwan we sio mkristoHivi kwaresma haijaisha Mrembo shunie?